The Declaration of Independence
O f The United Republic of Kivu
A Chronology of Events on the 4th of July 2007
JAMHURI YA MUUNGANO WA KIVU
Mkutano Mkuu wa Raia Wazaliwa wa Kivu
Kwa faida na maendeleo ya Kivu pamoja na raia wazaliwa wake, kwa ufanisi na amani, kwa Katiba ya Kidemokrasia na utawala wa Sheria;
Kuomba majadiliano na uchaguzi wa kuundwa kwa Taifa Kuu lenye uhuru, litakaloitwa ¨Jamhuri ya Muungano wa Kivu¨Matubio ya Baraza kuu
Msemaji ataongoza Mkutano na atamteua katibu (Secretari) aliyepatana tayari naye kabla ya mwanzo wa Mkutano. Huyu atakua mwandishi wa kuchukua mambo muhimu ya Mkutano.
Mwanzo wa Mkutano
Baada ya waalikwa wote kuingia ukumbini, milango itafungwa na Mkutano utaanza.
Mwenye kiti atakaribisha Mkutano kwa maneno haya:
Msemaji: Mabibi na Mabwana, Waheshimiwa raia wa Kivu, karibuni!
Jina langu ni _________________, na nitakua Mwenye kiti katika Mkutano huu.
Ninataka kuwashukuru kwa ujio wenu hapa leo, kwa kushiriki frusa hii rasmi na ya muhimu kwa niaba ya watu wetu wa Kivu.Kabla ya yote, Waraka “Table Ronde de Goma en date du 19-20 mars 2005”
Utasomewa Mkutano, na Mwenye kiti.Halafu Mwenye kiti atasema:
Msemaji: Mabibi na mabwana, waheshimiwa, Raia wa Kivu, tafadahalini, nawaomba, simameni, wekeni mikono yenu ya kuume kwenye moyo, na mikono yenu ya kushoto inyosheni juu, halafu rudieni maneno yafwatayo:
“Mimi.................., kirasmi naahidi na ninaapa kuwa sitaeleza wala kutowa inje mambo yote nitakayoyaona na kuyasikia, uamzi uote utakaochukuliwa hapa, kwa watu wasioruhusiwa ao kuhusika. Mungu nisaidie.
Ramani ya Jamhuri ya Muungano wa Kivu
Baada ya hapo, Mwenye kiti atasema tena:
Mabibi na mabwana, waheshimiwa raia wa Kivu, tafadhali nawaomba, kaeni kwenye viti vyenu.
Kisha:
Mnenaji: Nataka niwasomeeni sasa vichwa vya mambo yanayohusika na Mkutano huu: Yeyote katikati yetu atakayekuwa na swali, ataliandika kwenye kikaratasi. Kipindi cha maswali kimeaandaliwa kwenye mwisho wa Mkutano huu. Nawaombeni tena, tafadhali, kubaki kimia na kuulinda utaratibu wakati wote Mkutano utakuwa ukiendelea, isipokua ruhusa itolewe na nafasi ipewe kwa mtu kusema jambo.
Sababu ya mimi kuwaalika kushiriki kikao hiki ni kuwajulisha ya kuwa Muheshimiwa Askofu Elie-Desire Atawale ameomba na kuagiza kuhusu hitaji la kuunda kikundi cha watu wenye moyo na wa kuaminika, raia wa Kivu.
Yafuatayo ni vichwa vya maneno katika Agenda yetu:
A)- Kuwaonesha, kusoma na kuchagua Katiba ya Taifa lenye Uhuru Mkuu la Kivu ambalo litaitwa Jamhuri ya Muungano wa Kivu.
(Katiba itasomwa kwa sehemu na yule aliye ne ujuzi katika kusoma vizuri). Halafu Mkutano utaikubali na kuichagua kwa alama ya kunyosha mikono. Haya yote yatarekodiwa ikiwa kuna wale ambao waliikubali kabisa katiba hii, na wengine ambao walijizuia kuonesha msimamo wao.
Itajulishwa kuwa Katiba hii ya kwanza ni Katiba itakayotumika kwa muda tu hadi Kivu Nzima itakapokuwa Taifa lenye Uhuru mkubwa kabisa kabisa.Nakala za Katiba yote nzima zitapatikana kwenye meza ukumbini katika lugha ya kiingereza, kwa wale wanaotamani kuisoma yote.
Sehemu hii ya Katiba ilitolewa kwa ajili ya usomi tuu kama alama, bali nakala ya Katiba yote nzima yaweza kupatikana kwenye meza ya katibu.KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA KIVU
Jamhuri ya Muungano wa Kivu inakubaliana na vipengele vya thamani vya Katiba ya Kidemokrasia.
HAKI ZA KIBINAADAMU
- Kuishi
- Uhuru
- Uhuru katika kupasha habari
- Uhuru wa kuhutubia, kusemaSHERIA
- Kutolewa au kutekelezwa kwa Sheria
- Kulindwa na unyanyaso wa kutafutwa, na kunyanganywa mali
- Utawala wa Sheria
- Haki ya kuharikisha mashtaki ya Koti la Serikali na kuikomboa (remplacer) kwa njia ya kusambishwa na Raia wateuleWEMA KWA WOTE
- Kutoa Usalama na Ulinzi
- Kutoa mambo mema ya ujamii kwa woteSERIKALI KIKATIBA
- Haki ya jumla ya wengi kutoa maamzi katika siasa
- Kuheshimu Utofauti
- Sheria inalinda usawasawa wa raia wote bila upendeleo
- Misaada ya ujamii inatolewa sawasawa kwa raia wote bila upendeleo
- Haki za kuenda kwenye uchaguzi na kugombania Kiti au cheo
- Usawasawa wa raia wote katika kuomba kazi
- Usawasawa wa raia wote kuhusu makao na nyumbaJamhuri ya Muungano wa Kivu ni matunda ya siku nyingi ya mateso ya Watu wa Kivu kwa ajili ya ukombozi na Uhuru Mkuu wa Taifa na pia ulinzi wa mipaka za masultani wa kiasili wa makabila yake, na uhifadhi wa upekee wa mila yao, umoja wa historia yao, umoja wa Asili zao, na umoja wa Lugha yao ya Kiswahili.
Wanaonesha waziwazi nia yao ya kuishi kama watu huru , Wanazingatia haki yao na msimamo wao wa kutaka kuongoza na kuendesha mambo yao wenyewe.
Watu wa Kivu wanatambua umuhimu wa kufikilia kuendesha uchumi na maendeleo yao na kusimika Taifa lenye uhaki, wanaamua kukubaliana kutumia Katiba ifwaytayo:KIPENGELE 4. - Amba, Bemba, Bembe, Bhele, Buyu, Fuliiru, Havu, Hunde, Joba, Kabwari, Kanu, Komo, Kwami, Lega-Mwenga, Lega-Shabunda, Mvuba, Nande, Nyanga, Nyindu, Rwanda, Shi, Songa, Swahili, Talinga-Bwisi, Tembo; ndizo lugha za kitaifa za Jamhuri ya Muungano wa Kivu.
KIPENGELE 38. - Raisi wa Jamhuri ndiye Kichwa cha Taifa na Kamanda Mkuu wa Majeshi, ila si Kamanda wa Polisi ya Taifa, kwa kuwa Polisi ni kiungo huru mbali na Serikali.
Jukumu kuu la Raisi ni kuchunga utekekezaji wa Katiba (Constitution) na umoja wa Taifa nzima, na kuhakikisha Kivu nzima ina vifaa vyote vya kujipigania na kulinda Raia wake.
KIPENGELE 86.- Mamlaka ya Asili ya Mila (Kutoka kwa mababu): Mamlaka ya Asili ya Mila yanatambuliwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Kivu, kufuatana na Asili za mahali, ikiwa hazitapingana na Katiba ya Umoja, Sheria zake, Usalama wa Raia, vifungo vya Haki za kibinaadamu, na misingi ya uhuru. Kila Sultani anaalikwa kushiriki ndani ya uongozi mzuri wa Taifa na anaalikwa kupata Kiti katika Baraza kuu la Watambo (Masultani) wa Muungano wa Kivu.
Baraza Kuu la Watambo wa Muungano wa Kivu ni chumba kikuu cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Kivu, ambalo laitwa kwa kawaida “Baraza Kuu”. Raisi wa Jamhuri, Baraza la Wabunge na Baraza Kuu pamoja, vyaunda Ubunge wa Kivu. Viti vya Baraza Kuu ni kimoja kwa kila usultani, Vinaongezwa na viti vingine 12 vya ziada (Extra) vinavyopewa kwa watu Waheshimiwa Wazaliwa wa Kivu ambao walitambuliwa kuwa wamefanya mambo mengi mazuri kwa Taifa la Jamhuri ya Muungano wa Kivu.Viti vya Baraza la Wabunge (Chumba Kidogo) vyachukuliwa na Raia wa inchi walioteuliwa katika uchaguzi Mkuu huru wa kidemokrasia kwa jumla.
Cheo kamili rasmi cha Baraza Kuu ni “Waheshimiwa wakuu Masultani kiasili na wa muda wa Jamhuri ya Muungano wa Kivu wakiwa wa Baraza la Bunge.
Cheo kamili na rasmi cha wanamemba wa Baraza Kuu ni Waheshimiwa Wakuu X wa Y. Kwa mfano: Mwami Mopipi wa Shabunda. Ni kusema X=Mwami Mopipi, Y=Wa Shabunda.Watambo ambao ni Washauri wa kipekee (Privy Counsellors) watapewa cheo chao kama WW. Washauri wa kipekee wote wanapewa cheo chao “Waheshimiwa Wakuu”.
B) - Kuunda Baraza la Wabunge kwa kuomba kuchagua wanamemba wake wa kwanza. Uchaguzi wa wanamemba wa Bunge utafanywa kama ifuatavyo:
Mtu moja atalitaja jina la mtu anayemtaka. Inatakiwa mtu wa pili aungane naye kwa chaguo hilo. Ikiwa hakupatikana mtu wa pili aliyeungana naye, basi jina hilo halitatambiliwa miongoni mwa watakaochaguliwa.Kama jina la mtu lilitajwa na mtu fulani, halafu mtu wa pili anamuunga mkono, basi Mwenye Kiti wa Mkutano ataomba uchaguzi ufanyike kwa kunyosha mikono, iwe alama ya kuhakikisha uchaguzi huo ao la. Na haya yataendelea kufanyiwa hivi kwa kila jina litakalotajwa.
Baada ya haya wale wote waliochaguliwa na kuteuliwa kuwa Wanamemba wa Bunge watasimama na kuikaribia meza ya Mwenye Kiti. Wataambiwa kuweka mikono yao ya kuume kwenye moyo na mikono yao ya kushoto inyoshwe juu, na kukiri maneno haya:
KIAPO CHA WABUNGE
“Mimi..., naapa kwa Mungu Mwenyezi kuwa nitaiheshimu Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Kivu na kumuomba Mungu anisaidie na kuniongoza kwenye Katiba hii kwa kuilinda. Nitajitoa kwa nguvu zangu zote kutimiliza mapenzi ya watu walio na kiu cha uhuru, walio na kiu cha kujitawala na kiu cha uhaki. Nitalinda Haki na Uhuru wa Raia wote. Nitafunika na kuhifadhi umoja wa Udongo wa Kivu. Nitatumikia Maendeleo na Uheri wa watu wa Kivu, kupigania na kuinua thamani ya mila zao tukufu za Taifa la Kivu, Mungu, uwe Shahidi wangu”
Kiapo hiki kitafanywa na mtu mojamoja, yaani moja baada ya mwengine hadi wote walioteuliwa wataapishwa.Baada ya kufanya kiapo hicho cha ubunge, Mwenye kiti atasema tena:
Msemaji: Ninakutambua wewe kama Mwanamemba Mteule wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Kivu.
C) - Kumtaja na kumchagua Raisi wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Kivu katika Bunge hadi Uchaguzi Mkuu utakaofanyika kwa ajili ya Kiti hiki.
Baada ya hatua hii, Mwenye Kiti wa Mkutano atatoa neno:
Msemaji: Waheshimiwa Wanamemba wa Bunge, tafadhali nisikilizeni, Kwa heshima yote kubwa sana nawaomba na kumtaja Muheshimiwa Mkubwa, Askofu Elie-Desire Atawale, Mteule wa Bunge kama Raisi wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Kivu, hadi wakati wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika.
Akiwepo yeyote miongoni mwetu anayetaka kulitaja jina lingine kwa kiti hiki cha Uraisi, ajisikie huru kufanya hivyo.
Halafu
Mkutano wote, kila mtu ataandika kwenye kijikaratasi cha uchaguzi jina la mtu anayetaka kumchagua, na kijikaratasi hicho kitumbukizwe ndani ya kitunga trasparenti kilichoandaliwa kupokea karatasi cha uchaguzi.Baada ya uchagu makaratasi zote za uchaguzi yatakaguliwa na kuhesabiwa, na matokeo yatatangazwa.
Ndipo Msemaji wa Mkutano atasema:
Msemaji: - Waheshimiwa Wakuu, Wanamemba wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Kivu, kwa heshima kubwa sana, nina jukumu la kuwatangazia ya kwamba Muheshimiwa Mkuu Elie-Desire Atawale ameteuliwa na Bunge, kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Kivu, leo hii tarehe 4 Juli 2007.
Baada ya haya yote, wimbo wa Taifa ufuatao utaimbwa na Mkutano wote:D) - Jukumu la kwanza la Bunge ni kuwachagua ma ofisa 3 wafwatao:
1- Muheshimiwa Mkuu, Msemaji wa Baraza la Bunge
2- Muheshimiwa Mkuu,Katibu wa Baraza la Bunge
3- Muheshimiwa Mkuu, Mchunga Hazina wa Baraza la BungeE) - Kama jambo muhimu la kwanza,Bunge litakagua na kuteua kundi aina 3 za jumbe (Commissions) zifwatazo:
I. Jumbe la Ulinzi na Ujeshi. Jumbe hili litahusika kulionesha na kulishauri Bunge kuhusu uundaji wa Askari Jeshi kwa ulinzi na Usalama wa Taifa. Wanamemba wa Jumbe hili watamteua mkuu wao
miongoni mwao kwa kuendesha vema huduma zao.II. Jumbe la Mlimo na Matoleo ya chakula. Jumbe hili litahitaji kuliomba , kulionesha Bunge njia ya Utoaji wa chakula kwa kuwalisha Majeshi pamoja na Raia. Wanamemba wa Jumbe hili watamteua mkuu wao mingoni mwao wenyewe kwa kuongoza na kuendesha vema huduma zao.
III. Jumbe la Uchumi na Fedha: Jumbe hili litahusika kulionesha na
na kulishauri Bunge kupata njia ya kuinua uchumi, kupata Fedha na
kuhusu shughuli za Ushuru. Wanamemba wa Jumbe hili nao watamteua
mkuu wao miongoni mwao wenyewe, atakuwa na jukumu la kuziend
esha vema kazi zao.MSEMAJI: Mimi, kama Msemaji wa Bunge naliomba Bunge lichague mambo yafuatayo:
1 - Kuhakikisha na kukubali na kuweka muhuri mipango na maamzi yaliyotolewa katika Kikao cha kwanza cha Goma Munamo tarehe 19-20 march 2005 kuhusu Kuunda Taifa la Jamhuri ya Muungano wa Kivu. Ona waraka “Table Ronde de Goma en date du 19-20 mars 2005”.
2 - Wanamemba wa Bunge waweza kuteua serikali. Jambo hili ni la muhimu sana kwa ajili ya kuhusiana na serikali zingine.WIMBO WA TAIFA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA KIVU
Eh Kivu Tukufu!
Nina heri kuwa Raia wakoUzuri wa Ardhi yako, Ziwa zako,
Milima yako, na Mito yako
Siku zote vyanilisha na Furaha
Na MatumainiEh Kivu wewe u Mzazi
Watoto wako, Watukufu
Umoja wako ni siri ya Nguvu zako
Watu wako wanakupenda
Wataendelea kukuteteaRaia wa Kivu
Uhusiano kati yetu
Wabaki mwema daima
Ushirika kati yetu
Watufanikisha daima
Upendo na Umoja kati yetu
Daima tutashinda adui zetuEh Kivu wastahili Amani!
MASWALI NA MAJIBU
Msemaji: Waheshimiwa wakuu, Wanamemba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Kivu, Mabibi na Mabwana, tafadhali nisikilizeni, sasa ni wakati wa kila mtu kulileta swali lake. Maswali yote yaletwe na kuandikwa na Katibu wa Bunge, ndipo yatumwe kwa Raisi Baba wa Taifa ambaye atakayejibu maswali yote.
Maswali na majibu yatatangazwa katika kikao chetu kingine kitakachofuata. Asanteni.Maswali yaliyoandikwa yote yatapokelewa kwa njia ya utaratibu. Maswali yote yawe wazi na ya kusikilika. Maswali yasio wazi na ya kuchanganyisha hayatapokelewa. Maswali yatolewe kwa shabaha nzuri ya kushiriki katika kujenga, na kwa nia njema, kwa faida ya Taifa la Kivu, watu wake na serikali yake.
Concerning the true Identity of
Mr. Hippolyte Kanombe alias “Joseph Kabila”As extensively and independent published information in the African media concerning the true identity of Mr. Hippolyte Kanombe by Jeune Afrique and others concerning the real father of “Laurent Kabila” who is reported has to be a Rwandan called Kanombe and his mother a Rwandan Tutsi called Marcelline, who later became one of Laurent Kabila’s many wives, DRC Foreign Minister, Bizima Karaha (a leader of the Rwandan-backed rebel Congolese Rally for Democracy), described Hippolyte Kanombe alias “Joseph” as Laurent Kabila’s adopted child.
“When I saw Hippolyte Kanombe first in Kisangani in March 1997, he was Commander James Kabarehe’s driver, and was presented as the commander’s nephew”, a former companion of Laurent Kabila told African Business.
Hippolyte Kanombe served in the Rwandan army in 1995. Several witnesses also stress the indisputable fact that Hippolyte Kanombe alias “Joseph Kabila” is fluent in kinyarwanda, the lingua franca of Rwanda.
Concerning the Fraud, Parody and the Illegitimacy of the Elections in the former DRC in 2006
Cardinal Frédérick Etsou-Nzabi-Bamungwabi, Archbishop of Kinshasa
"I ask the international community to abstain from all attempts to impose on the people of Congo he whom they have not chosen as their president," Etsou told Radio France International. His comments came as the votes were being counted in November and partial results already gave to Mr. Hippolyte Kanombe alias Joseph Kabila, who was then serving as interim president, the lead.
Cardinal Etsou also accused the Electoral Commission of publishing false results.
Marie-Thérèse Nlandu Mpolo-Nene, a lawyer at the DRC’s Supreme Court of Justice and leader of the Parti pour la Paix au Congo (Congo-Pax) political party, was arrested in Kinshasa, on 21 November by agents of the services spéciaux de la police, (Special Services police). Marie-Thérèse Nlandu was engaged as a lawyer representing Jean-Pierre Bemba’s appeal before the Supreme Court of Justice against the results of the second round of presidential elections.
After the second round of the presidential elections, Cardinal Etsou took his responsibility as a religious leader to speak the truth and accused the president of the CEI (Independent Electoral Commission) of being part in the complot and involved in rigging and ballot result fraud.
In an interview made to the Radio of France International on the 13th of November 2006, who takes from now on the relief of a political legacy, the cardinal stated: "I, personally, as a priest, I do not accept this lie. The truth is needed. The Abbot Malu Malu must conform to the verdict of the ballot boxes. It cannot be allowed that one falsifies the verdict of the ballot boxes. I say No to all attempts to impose to the people has candidate in front of just to satisfy the appetites of the gluttons and predatory of its Foreign partners."
"We priests of the People of God, have a difficult and delicate mission: that to be servants of the truth and not lie. And it is with courage. (…).
Our standpoint in any moment must be in favour of the people of God.
Let us open our eyes in our dioceses to see the misery of our people.Let us open our hearts in front of more than 4 million Citizens killed by the war
useless of occupation, war which generated and continuous to generate the hunger and them diseases and the division of the families, while it was used for all them belligerents to grow rich you sell the country to the foreigners.""Like every one else, we have the concise information of the real electoral results of the 30th of October 2006. These results differ significantly by far to those of the political masquerade which we have witnessed on 15 November. By the declaration of the CEI and the Verdict of the Supreme Court of Justice on the 27 November 2006. and .in spite of the easy ways of some, we will continue to talk in the name of the 8 million inhabitants which constitute the Archdiocese of Kinshasa!"
Concerning the assassination by poisoning of the Cardinal Frédérick Etsou-Nzabi-Bamungwabi Archbishop of Kinshasa
Following his interview to the Radio France International on the 13th of November 2006 the poisoning of Cardinal Frédérick Etsou-Nzabi-Bamungwabi, Archbishop of Kinshasa in Belgium where he died soon after on the 6th of January 2007
"We cannot exclude anything!" This declaration was made under anonymity by someone next to the Cardinal citing the words of a medical member of staff treating the patient. After a week, informs this source, "the vital organs of the patient Etsou - to enumerate the kidneys, the lungs and the liver - have deteriorated in a record living in amazement the medical staff".
In accordance with eye witnesses, the face of the Cardinal was subjected to an "eruption coetaneous" of unknown origin. The medical personnel have affirmed that the more seriously of the world than the face of Frédéric Etsou resembling more and more to that of the Ukrainian President Viktor Iouchtchenko, victim of a dioxin poison. This information’s have not been denied by the visitors which have gained access to the patient. Archbishop of Kinshasa, presented, according to them, the signs of someone who has ingested harmful substances.
Certain sources assure that blood examinations have revealed "traces of dioxin". Other sources talk of "traces of cyanide". Cardinal Frédéric Etsou-Nzabi-Bamungwabi died on the 6th of January 2007 in Belgium from poisonous substances.
DECLARATION CONCERNING THE FORMER RDC
“The Impossible Nation”
United Kivu Sovereignty Resolution
Approved by Parliament 4 July 2007
The Parliament of the United Republic of Kivu doesn’t recognize the raison d'être of the former DRC. “The Impossible State”, the former DRC embodies and represents the artificial creation and mindset of the Colonial Era, and oppresses the nations which it pretends to colonize and also disrespects, in all senses, plus one, the nature of the population, nation and culture, which it attempts in vain to subjugate by the use of armed brute force.
The mere idea that something like the former DRC could once again exist is it in itself contrary to the aspirations of the nations caught in this colonial maze of error and is therefore contrary to Natural Law. Things which are not accepted elsewhere, are forced upon us. Decisions which are not made by us are continuously being imposed upon us without our consent or consultation.
To accept “The Impossible Nation” or the paramount wrong of the creation and conception of the so called: Congo Free State, The Belgian Congo, The Republic of Zaire, The Democratic Republic of Congo, would be for us to accept the ill advised minds of those present at the Berlin Conference, who by their mischievous deeds and irresponsible actions have created havoc among these, our nations.
Therefore we declare that “The Impossible State” the former DRC does not exist. We unanimously declare that what exists in reality is a nation called United Kivu, a nation called Katanga, a nation called Great Kasai, a nation called Central Kongo, a nation called Boyoma and a nation called Equator. These innate nations with their unique cultures and traditions have a right to the Self Rule, Independence and Sovereignty of Nation States.
The Parliament of Kivu in regular Assembly on the 4 of July 2007 received, voted and passed the following resolution:
United Republic of Kivu Sovereignty Resolution
Approved by Parliament July 4th 2007
In accordance with the acts, decisions and proclamations held by The Authority of Parliament of United Kivu meeting on July 4th 2007 has the same resolved, that the United Republic of Kivu is, and of right ought to be, a free and independent State, that it is absolved from all allegiance to the Former Democratic Republic of Congo, and that all political connection between it and the State of the Democratic Republic of Congo is, and ought to be, totally dissolved.
That it is expedient forthwith to take the most effectual measures for forming foreign alliances. That a plan of economic and military alliance be prepared and transmitted to the respective state authorities of the Republics of Katanga, Great Kasai, Central Kongo, Boyoma and the Republic of Equator for their consideration and approbation.
DÉCLARATION AU SUJET DE LA RDC
"La Nation Impossible"
Résolution de la Souveraineté du Kivu
Approuvée par le Parlement le 4 juillet 2007Le Parlement de la République unie du Kivu ne reconnaît pas la raison d'être de l'ancienne République, la RDC. "L'Etat impossible", l'ancienne RDC incarne et représente la création artificielle et la mentalité de l'ère coloniale, et opprime les nations qu'elle feint pour coloniser et traite sans respect également, dans tous les sens, plus d'un, la nature de la population, la nation et la culture, qu'elle essaie en vain de subjuguer par l'utilisation de la force brutale armée.
La seule idée que quelque chose comme l'ancienne RDC pourrait de nouveau exister en soi contrairement aux aspirations des nations attrapées dans ce labyrinthe colonial d'erreur est donc contraire à la loi naturelle, Choses qui ne sont pas acceptées ailleurs, sont obligatoires sur nous. Des décisions prises sans notre consentement ni consultation nous sont imposées.
Accepter "la nation impossible" ou le mal primordial de la création et de la conception du prétendu : L'état libre du Congo, Congo belge, la République du Zaïre, la République démocratique du Congo, serait pour nous accepter les esprits conseillés malades des participants à la conférence de Berlin, qui par leurs contrats malfaisants et actions irresponsables ont créé le ravage parmi nos nations.
Par conséquent nous déclarons que "l'état impossible" l'ancienne RDC n'existe pas. Nous déclarons unanimement que ce qui existe en réalité est une nation appelée Kivu, une nation appelée Katanga, une nation appelée Grand Kasaï, une nation appelée Kongo Central, une nation appelée Boyoma et une nation appeléeEquateur. Ces nations innées avec leurs cultures et traditions uniques ont droit de se diriger elles-mêmes, droit à l'indépendance et à la souveraineté comme des Nations- Etats.
Le Parlement du Kivu dans son Assemblée Ordinaire du 4 juillet 2007 a reçu, voté et passé la résolution suivante:
La résolution de la souveraineté de la République unie du Kivu
Approuvée par le Parlement le 4 juillet 2007
Conformément aux Actes, décisions et proclamations tenues par l'autorité du Parlement du Kivu dans son Assemblée du 4 juillet 2007, il a été résolu que la République Unie de Kivu est et doit être un Etat libre et indépendant, qu'elle est affranchie de toute allégeance à l'ancienne République, la RDC, et que par conséquent, tout raccordement politique entre elle et l'Etat de la République Unie du Kivu est, et doit être, totalement dissout.
Qu'il est avantageux immédiatement de prendre les mesures les plus efficaces pour former des alliances étrangères. Qu'un plan d'alliance économique et militaire soit préparé et transmis aux autorités respectives des Etats de la Républiques du Katanga, du Grand Kasaï, du Kongo central, de Boyoma et de l'équateur pour leur considération et approbation.
UNITED KIVU GENERAL LINKS
GOVERNMENT INFORMATION
FFSA
Federation of the Free States of Africa
Contact
Secretary General
Mangovo Ngoyo
Email: [email protected]www.africafederation.net